Psalms 21:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamjalia baraka zako daima; wamfurahisha kwa kuwako kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana umemfanya kuwa baraka za milele, Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamjalia baraka zako daima; wamfurahisha kwa kuwako kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana umemfanya kuwa baraka za milele, Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamjalia baraka zako daima; wamfurahisha kwa kuwako kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana umemweka kuwa mbaraka kale na kale, ukamchangamsha, aone furaha iliyo mbele yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana umemfanya kuwa baraka za milele, Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa musaada wako, amepata utukufu sana; wewe umemujalia sifa na heshima.