Psalms 21:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme anamtumainia Mwenyezi-Mungu; kwa fadhili za Mungu Mkuu atakuwa salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa mfalme anamtumaini Mwenyezi Mungu; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mfalme humtumaini Bwana, Na kwa fadhili zake Aliye juu hataondoshwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme anamtumainia Mwenyezi-Mungu; kwa fadhili za Mungu Mkuu atakuwa salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa mfalme anamtumaini BWANA; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa mfalme anamtumaini bwana; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mfalme humtumainia BWANA, Na kwa fadhili zake Aliye Juu hatatikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme anamtumainia Mwenyezi-Mungu; kwa fadhili za Mungu Mkuu atakuwa salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mfalme amwegemeaye Bwana, hatatikisika kwa upoke wake Alioko huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mfalme humtumaini BWANA, Na kwa fadhili zake Aliye juu hataondoshwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unamujalia baraka zako siku zote; unamufurahisha kwa sababu uko pamoja naye.