Psalms 21:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wako utawapata adui zako wote, Mkono wako wa kuume utawapata wanaokuchukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wako utawapata adui zako wote, Mkono wako wa kuume utawapata wanaokuchukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkono wako utawapata adui zako wote, kuumeni kwako kutawapata nao wachukivu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wako utawapata adui zako wote, Mkono wako wa kuume utawapata wanaokuchukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme anamutumainia Yawe; kwa wema wa Mungu Mukubwa atakuwa salama.