Psalms 22:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu. Tangu nilipozaliwa wewe umekuwa Mungu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, toka tumboni mwa mama yangu umekuwa Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwako nalitupwa tangu tumboni, Toka tumboni mwa mamangu ndiwe Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu. Tangu nilipozaliwa wewe umekuwa Mungu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, toka tumboni mwa mama yangu umekuwa Mungu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, toka tumboni mwa mama yangu umekuwa Mungu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwako nilitupwa tangu tumboni, Toka tumboni mwa mamangu ndiwe Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu. Tangu nilipozaliwa wewe umekuwa Mungu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ndiwe, niliyetupiwa tangu hapo, nilipozaliwa; tangu hapo, nilipotoka tumboni mwa mama, wewe u Mungu wangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwako nalitupwa tangu tumboni, Toka tumboni mwa mamangu ndiwe Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe ndiwe uliyenitoa katika tumbo la mama yangu, uliniweka salama kwa kifua cha mama yangu.