Psalms 22:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikae mbali nami, kwani taabu imekaribia; wala hakuna wa kunisaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiwe mbali nami, kwa maana shida iko karibu na hakuna wa kunisaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwe mbali nami maana taabu i karibu, Kwa maana hakuna msaidizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikae mbali nami, kwani taabu imekaribia; wala hakuna wa kunisaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiwe mbali nami, kwa maana shida iko karibu na hakuna wa kunisaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiwe mbali nami, kwa maana shida iko karibu na hakuna wa kunisaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwe mbali nami maana taabu i karibu, Kwa maana hakuna msaidizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikae mbali nami, kwani taabu imekaribia; wala hakuna wa kunisaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa masongano yako karibu, usinikalie mbali! Kwani atakayenisaidia hayuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwe mbali nami maana taabu i karibu, Kwa maana hakuna msaidizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu. Tangu nilipozaliwa, wewe umekuwa Mungu wangu.