Psalms 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui wengi wanizunguka kama fahali; wamenisonga kama fahali wakali wa Bashani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa Bashani wamenisonga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui wengi wanizunguka kama fahali; wamenisonga kama fahali wakali wa Bashani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa Bashani wamenisonga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui wengi wanizunguka kama fahali; wamenisonga kama fahali wakali wa Bashani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe waume wengi wamenizunguka, nao nyati wa Basani wakanizingazinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa Bashani wamenisonga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikae mbali nami, kwa maana taabu imekaribia; wala hakuna wa kunisaidia.