Psalms 22:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunua vinywa vyao kama simba, tayari kushambulia na kurarua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simba wanaonguruma na kurarua mawindo wanapanua vinywa vyao dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wananifumbulia vinywa vyao, Kama simba apapuraye na kunguruma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunua vinywa vyao kama simba, tayari kushambulia na kurarua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simba wangurumao wanaorarua mawindo yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simba wangurumao wanaorarua mawindo yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wananifumbulia vinywa vyao, Kama simba apapuraye na kunguruma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunua vinywa vyao kama simba, tayari kushambulia na kurarua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaasama vinywa vyao, wanimeze, wakawa kama simba anyafuaye na kunguruma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wananifumbulia vinywa vyao, Kama simba apapuraye na kunguruma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui wengi wananizunguka kama ngombe dume; wamenisonga kama ngombe dume wanono wa Basani!