Psalms 22:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekwisha kama maji yaliyomwagika; mifupa yangu yote imeteguka; moyo wangu ni kama nta, unayeyuka ndani mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimemiminwa kama maji, mifupa yangu yote imeteguka viungoni. Moyo wangu umegeuka kuwa nta, umeyeyuka ndani yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya mtima wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekwisha kama maji yaliyomwagika; mifupa yangu yote imeteguka; moyo wangu ni kama nta, unayeyuka ndani mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimemiminwa kama maji, mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. Moyo wangu umegeuka kuwa nta, umeyeyuka ndani yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimemiminwa kama maji, mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. Moyo wangu umegeuka kuwa nta, umeyeyuka ndani yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya moyo wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekwisha kama maji yaliyomwagika; mifupa yangu yote imeteguka; moyo wangu ni kama nta, unayeyuka ndani mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nafanana na maji yamwagwayo, mifupa yangu imeteguka yote, moyo wangu ni kama nta iyeyukayo humu mwangu ndani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya mtima wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafungua vinywa vyao kama simba, tayari kushambulia na kurarua.