Psalms 22:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Genge la waovu limenizunguka; wananizingira kama kundi la mbwa; wamenitoboa mikono na miguu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbwa wamenizunguka, kundi la watu waovu limenizingira; wamenidunga mikono na miguu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenizua mikono na miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Genge la waovu limenizunguka; wananizingira kama kundi la mbwa; wamenitoboa mikono na miguu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbwa wamenizunguka, kundi la watu waovu limenizingira, wametoboa mikono yangu na miguu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbwa wamenizunguka, kundi la watu waovu limenizingira, wametoboa mikono yangu na miguu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenidunga mikono na miguu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Genge la waovu limenizunguka; wananizingira kama kundi la mbwa; wamenitoboa mikono na miguu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walikuwako mbwa, wakanizunguka, kikosi cha wabaya kikanijia pande zote, kisha wakanitoboa maganja na nyayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenizua mikono na miguu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Koo langu limekauka kama kigae; ulimi wangu unanata ndani ya kinywa changu. Wewe umenilaza pembeni ya kaburi.