Psalms 22:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimebaki mifupa mitupu; maadui zangu waniangalia na kunisimanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, watu wananikodolea macho na kunisimanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naweza kuihesabu mifupa yangu yote; Wao wananitazama na kunikodolea macho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimebaki mifupa mitupu; maadui zangu waniangalia na kunisimanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, watu wananikodolea macho na kunisimanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, watu wananikodolea macho na kunisimanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naweza kuihesabu mifupa yangu yote; Wao wananitazama na kunikodolea macho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimebaki mifupa mitupu; maadui zangu waniangalia na kunisimanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naweza kuihesabu mifupa yangu yote, nao wanavitazama tu na kunitumbulia macho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naweza kuihesabu mifupa yangu yote; Wao wananitazama na kunikodolea macho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la waovu limenizunguka; wananizunguka kama kundi la imbwa; wamenitoboa mikono na miguu.