Psalms 22:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanagawana nguo zangu, na kulipigia kura vazi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanagawana nguo zangu, na vazi langu wanalipigia kura.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanagawana nguo zangu, na kulipigia kura vazi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanagawana mavazi yangu wao kwa wao na nguo zangu wanazipigia kura.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanagawana nguo zangu wao kwa wao, na vazi langu wanalipigia kura.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanagawana nguo zangu, na kulipigia kura vazi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakajigawanyia nguo zangu, nalo vazi langu zuri wakalipigia kura.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimebaki mifupa mitupu; waadui zangu wananiangalia na kunisimanga.