Psalms 22:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami; ewe msaada wangu, uje haraka kunisaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, usiwe mbali. Ee Nguvu yangu, uje haraka unisaidie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, Bwana, usiwe mbali, Ee Nguvu zangu, fanya haraka kunisaidia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami; ewe msaada wangu, uje haraka kunisaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, Ee BWANA, usiwe mbali, Ee Nguvu yangu, uje haraka unisaidie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, Ee bwana, usiwe mbali. Ee Nguvu yangu, uje haraka unisaidie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, BWANA, usiwe mbali, Ee Nguvu zangu, fanya haraka kunisaidia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami; ewe msaada wangu, uje haraka kunisaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe, Bwana, usiwe mbali! Kwa hivyo, unavyonishupaza, piga mbio, unisaidie!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, BWANA, usiwe mbali, Ee Nguvu zangu, fanya haraka kunisaidia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanagawanya nguo zangu, na kuipigia kanzu yangu kura.