Psalms 22:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu, mchana kutwa nakuita, nawe hikuniitikia; usiku nao hapana, ninaponyamaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Mbona uko mbali sana kwa kunisaidia, mbali na maneno ya kilio changu?