Psalms 22:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Okoa maisha yangu na upanga, uhai wangu wa thamani kutoka nguvu za mbwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniponye nafsi yangu na upanga, Mpenzi wangu na nguvu za mbwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Okoa maisha yangu na upanga, uhai wangu wa thamani kutoka nguvu za mbwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Okoa maisha yangu na upanga, uhai wangu wa thamani kutoka nguvu za mbwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniponye nafsi yangu na upanga, Mpenzi wangu na nguvu za mbwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iopoe roho yangu kwenye panga! Hiyo iliyo mali yangu peke yake iopoe kwenye mbwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniponye nafsi yangu na upanga, Mpenzi wangu na nguvu za mbwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, ee Yawe, usikae mbali nami. Ukuwe musaada wangu, ukuje haraka kunisaidia.