Psalms 22:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe kinywani mwa simba; iokoe nafsi yangu dhaifu toka pembe za nyati hao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niokoe kutoka kinywani mwa simba, niokoe kutoka pembe za nyati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywani mwa simba uniokoe; Naam, toka pembe za nyati umenijibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe kinywani mwa simba; iokoe nafsi yangu dhaifu toka pembe za nyati hao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niokoe kutoka kinywani mwa simba, niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niokoe kutoka kinywani mwa simba, niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywani mwa simba uniokoe; Naam, toka pembe za nyati umenijibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe kinywani mwa simba; iokoe nafsi yangu dhaifu toka pembe za nyati hao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo kinywani mwa simba niokoe, kwani nilipokuwa penye pembe za nyati, uliniitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywani mwa simba uniokoe; Naam, toka pembe za nyati umenijibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uokoe nafsi yangu toka upanga, uokoe maisha yangu toka mikono ya imbwa hao!