Psalms 22:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele yao wakuchao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wanaokucha wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwako zinatoka sifa zangu Katika kusanyiko kubwa. Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele yao wakuchao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwako zinatoka sifa zangu Katika kusanyiko kubwa. Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele yao wakuchao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nidwe, nitakayekukuza, makundi mengi yakusanyikapo; nayo niliyomwagia nitayalipa mbele yao wamwogopao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwako zinatoka sifa zangu Katika kusanyiko kubwa. Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye hatupilii au kuzarau taabu ya muzaifu; wala hajifichi mbali naye, lakini anamusikiliza anapomwomba musaada.”