Psalms 22:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini watakula na kushiba; wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu watamsifu. Mungu awajalie kuishi milele!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maskini watakula na kushiba, wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu watamsifu: mioyo yenu na iishi milele!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao Bwana watamsifu; Mioyo yenu na iishi milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini watakula na kushiba; wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu watamsifu. Mungu awajalie kuishi milele!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maskini watakula na kushiba, wale wamtafutao BWANA watamsifu, mioyo yenu na iishi milele!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maskini watakula na kushiba, wale wamtafutao bwana watamsifu: mioyo yenu na iishi milele!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao BWANA watamsifu; Mioyo yenu na iishi milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini watakula na kushiba; wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu watamsifu. Mungu awajalie kuishi milele!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanyonge sharti wale, hata washibe; sharti wamshangilie Bwana, wao wamtafutao, mioyo yenu sharti iwepo kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao BWANA watamsifu; Mioyo yenu na iishi milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele ya wanaomwabudu.