Psalms 22:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu ni mfalme; yeye anayatawala mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana ufalme ni wa Mwenyezi Mungu naye huyatawala mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ufalme una Bwana, Naye ndiye awatawalaye mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu ni mfalme; yeye anayatawala mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana ufalme ni wa BWANA naye hutawala juu ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana ufalme ni wa bwana naye hutawala juu ya mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ufalme ni wa BWANA, Naye ndiye awatawalaye mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu ni mfalme; yeye anayatawala mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ufalme ni wake, yeye Bwana, anayewatawala wamizimu ndiye yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ufalme una BWANA, Naye ndiye awatawalaye mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulimwengu wote utakumbuka na kumurudilia Yawe; jamaa zote za mataifa zitamwabudu.