Psalms 22:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye kiburi wote duniani watasujudu mbele yake; wote ambao hufa watainama mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. Wote wanaoshuka mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu, Humwinamia wote washukao mavumbini; Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye kiburi wote duniani watasujudu mbele yake; wote ambao hufa watainama mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu; wote waendao mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. Wote waendao mavumbini watapiga magoti mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu, Humwinamia wote washukao mavumbini; Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye kiburi wote duniani watasujudu mbele yake; wote ambao hufa watainama mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uhai wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote walio wanene wa nchi watakula na kumwangukia, wote washukao uvumbini huinamia nchi mbele yake yeye, wasioweza kujipauzima ndio wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu, Humwinamia wote washukao mavumbini; Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe ni mufalme; yeye anatawala mataifa.