Psalms 22:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo umesimikwa kwenye kiti cha enzi, Wewe Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Wewe U Mtakatifu, Uketiye juu ya sifa za Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Wewe U Mtakatifu, Utukuzwaye na sifa za Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe ndiwe uliye mtakatifu, unakaa na kukuzwa nao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Wewe U Mtakatifu, Uketiye juu ya sifa za Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu wangu, ninakulilia muchana lakini haujibu; ninakulalamikia usiku, lakini sipumziki.