Psalms 22:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vizazi vijavyo vitamtumikia; watu watavisimulia habari za Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazao wake watamtumikia. Zitasimuliwa habari za Bwana, Kwa kizazi kitakachokuja,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vizazi vijavyo vitamtumikia; watu watavisimulia habari za Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazao wake watamtumikia. Zitasimuliwa habari za BWANA, Kwa kizazi kitakachokuja,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vizazi vijavyo vitamtumikia; watu watavisimulia habari za Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vizazi vyao navyo vitamtumikia Bwana, mambo ya Bwana yatasimuliwa kwao vijukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazao wake watamtumikia. Zitasimuliwa habari za BWANA, Kwa kizazi kitakachokuja,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye kiburi wote katika dunia watamwabudu; wote ambao ni wa kufa watainama mbele yake, wote ambao hawawezi kudumisha uzima wao.