Psalms 22:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watatangaza matendo yake ya wokovu. Watu wasiozaliwa bado wataambiwa: “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyefanya hayo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake, Ya kwamba ndiye aliyeyafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watatangaza matendo yake ya wokovu. Watu wasiozaliwa bado wataambiwa: “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyefanya hayo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watautangaza wokovu wake kwa watakaozaliwa, Ya kwamba ndiye aliyeyafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watatangaza matendo yake ya wokovu. Watu wasiozaliwa bado wataambiwa: “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyefanya hayo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakuja, wautangaze wongofu wake kwao watakaozaliwa, kwamba: Ndiye aliyevifanya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake, Ya kwamba ndiye aliyeyafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vizazi vyao vitamutumikia; watu wataelezea kizazi kinachokuja habari za Yawe,