Psalms 22:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba zetu walikutumaini Wewe, Walitumaini, na Wewe ukawaokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba zetu walikutumainia Wewe, Walitumainia, na Wewe ukawaokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nidwe, waliyekutegemea baba zetu, napo walipokutegemea, ukawaopoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba zetu walikutumaini Wewe, Walitumaini, na Wewe ukawaokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, wewe ni mutakatifu; wewe unatawala na kusifiwa na Waisraeli.