Psalms 22:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi ni mdudu tu, wala si mtu; nimepuuzwa na kudharauliwa na watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mimi ni mdudu wala si mtu, Laumu ya wanadamu na mzaha wa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi ni mdudu tu, wala si mtu; nimepuuzwa na kudharauliwa na watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza na watu wamenidharau
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi ni mdudu wala si mtu, Nimedharauliwa na kupuuzwa na watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi ni mdudu tu, wala si mtu; nimepuuzwa na kudharauliwa na watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ni kidudu, si mtu bado, watu wakanifyoza wote na kunibeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mimi ni mdudu wala si mtu, Laumu ya wanadamu na mzaha wa watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikulilia wewe, wakaokolewa; walikutegemea, nao hawakufezeheka.