Psalms 22:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wanionao hunidhihaki; hunifyonya na kutikisa vichwa vyao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaoniona wananidhihaki; wananivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wanionao hunicheka sana, Hunifyonya, wakitikisa vichwa vyao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wanionao hunidhihaki; hunifyonya na kutikisa vichwa vyao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wanionao hunicheka sana, Hunifyonya, wakitikisa vichwa vyao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wanionao hunidhihaki; hunifyonya na kutikisa vichwa vyao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wanionao hunibeua, hukuza vinywa na kutingisha vichwa, kisha husema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wanionao hunicheka sana, Hunifyonya, wakitikisa vichwa vyao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi ni mududu tu, wala si mutu; nimetukaniwa na kuzarauliwa na watu.