Psalms 22:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Husema: “Alimtegemea Mwenyezi-Mungu, basi, Mungu na amkomboe! Kama Mungu anapendezwa naye, basi, na amwokoe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanasema, “Amtegemea Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Husema, Umtegemee Bwana; na amponye; Na amwokoe sasa, maana apendezwa naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Husema: “Alimtegemea Mwenyezi-Mungu, basi, Mungu na amkomboe! Kama Mungu anapendezwa naye, basi, na amwokoe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Husema, “Anamtegemea BWANA, basi BWANA na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Husema, “Anamtegemea bwana, basi bwana na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Husema, Umtegemee BWANA; na amponye; Na amwokoe sasa, maana apendezwa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Husema: “Alimtegemea Mwenyezi-Mungu, basi, Mungu na amkomboe! Kama Mungu anapendezwa naye, basi, na amwokoe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umsukumie Bwana! Na amponye! Kama anapendezwa naye, na amwokoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Husema, Umtegemee BWANA; na amponye; Na amwokoe sasa, maana apendezwa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaoniona wananichekelea; wananizomea na kutikisa vichwa vyao.