Psalms 22:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, uliniweka salama kifuani pa mama yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, Wewe ndiwe uliyenitoa tumboni, Ulinitumainisha matitini mwa mama yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, uliniweka salama kifuani pa mama yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, Wewe ndiwe uliyenitoa tumboni, Ulinisalimisha matitini mwa mama yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, uliniweka salama kifuani pa mama yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama, ukaniegemeza maziwa yake mama yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, Wewe ndiwe uliyenitoa tumboni, Ulinitumainisha matitini mwa mama yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema: “Alimutegemea Yawe, basi, Mungu amuponyeshe! Kama Mungu anapendezwa naye, basi, amwokoe!”