Psalms 23:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Mwenyezi-Mungu ni mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) BWANA ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Bwana ni mchungaji wangu, hakuna nitakachokikosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Yawe ni muchungaji wangu; sitapungukiwa na kitu.