Psalms 23:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hunipumzisha kwenye malisho mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hunipumzisha kwenye malisho mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hunipumzisha kwenye malisho mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hunipumzisha mawandani penye majani mazuri, hunipeleka nako kwenye vijito, nipate kutua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ananipumzisha kwenye majani mabichi; ananiongoza kando ya maji matulivu,