Psalms 23:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuirudishia nafsi yangu nguvu mpya. Huniongoza katika njia sawa kwa hisani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hunihuisha nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuirudishia nafsi yangu nguvu mpya. Huniongoza katika njia sawa kwa hisani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
huifanya upya nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hunihuisha nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuirudishia nafsi yangu nguvu mpya. Huniongoza katika njia sawa kwa hisani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huutuliza moyo wangu kwa kuniongoza, nifuate mapito yaongokayo, Jina lake litukuzwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuirudishia nafsi yangu nguvu mupya. Ananiongoza katika njia sawa kwa utukufu wa jina lake.