Psalms 23:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeniandalia karamu mbele ya maadui zangu; umenipaka mafuta kichwani pangu; kikombe changu umekijaza mpaka kufurika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waandaa meza mbele yangu machoni pa adui zangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, kikombe changu kinafurika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeniandalia karamu mbele ya maadui zangu; umenipaka mafuta kichwani pangu; kikombe changu umekijaza mpaka kufurika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waandaa meza mbele yangu machoni pa adui zangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, kikombe changu kinafurika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waandaa meza mbele yangu machoni pa adui zangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, kikombe changu kinafurika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeniandalia karamu mbele ya maadui zangu; umenipaka mafuta kichwani pangu; kikombe changu umekijaza mpaka kufurika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanitandikia meza machoni pao wanisongao, ukanipaka mafuta kichwani pangu, nacho kikombe changu hukijaza, mpaka kimwagikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umenitayarishia karamu mbele ya waadui zangu. Umekipakaa kichwa changu mafuta. Kikombe changu umekijaza tele.