Psalms 23:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli wema wako na fadhili zako zitakuwa pamoja nami, siku zote za maisha yangu; nami nitakaa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Mwenyezi Mungu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli wema wako na fadhili zako zitakuwa pamoja nami, siku zote za maisha yangu; nami nitakaa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa bwana milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli wema wako na fadhili zako zitakuwa pamoja nami, siku zote za maisha yangu; nami nitakaa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wema na upole utanifuata siku zote za kuwapo kwangu, nikae Nyumbani mwa Bwana siku zitakazokuwa zote.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, uzuri na wema wako vitakuwa pamoja nami siku zote za maisha yangu; nami nitakaa katika nyumba ya Yawe milele.