Psalms 24:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia ni mali ya Mwenyezi Mungu, na vyote vilivyomo, ulimwengu, na wote wanaoishi ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Dunia ni mali ya BWANA, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu na wote waishio ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia ni mali ya bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu, na wote waishio ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi hii ni yake Bwana navyo vyote vilivyomo, hata ulimwengu pamoja nao wakaao humu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Dunia na vyote vinavyokuwa ndani yake ni vya Yawe; ulimwengu na wote wanaoishi ndani yake ni mali yake.