Psalms 24:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
maana aliiwekea misingi yake baharini, na kuifanya imara juu ya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye aliushikiza kule baharini, nako kwenye majito akaushupaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya maji mengi.