Psalms 24:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nani awezaye kuupanda mlima wa Mwenyezi Mungu? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nani awezaye kuupanda mlima wa BWANA? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nani awezaye kuupanda mlima wa bwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayepanda mlimani kwa Bwana? Tena yuko nani atakayesimama mahali pake patakatifu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani atakayepanda kwa mulima wa Yawe? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu?