Psalms 24:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu huyo atapokea baraka kwa Mwenyezi-Mungu, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo atapokea baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atapokea baraka kwa Bwana, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu huyo atapokea baraka kwa Mwenyezi-Mungu, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyo atapokea baraka kutoka kwa BWANA, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyo atapokea baraka kutoka kwa bwana, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atapokea baraka kwa BWANA, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu huyo atapokea baraka kwa Mwenyezi-Mungu, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mema, Bwana aliyompatia, atayatwaa, ndio wongofu upatikanao kwake Mungu aliye na wokovu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atapokea baraka kwa BWANA, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu huyo atapokea baraka kwa Yawe, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake.