Psalms 24:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndio hali ya kizazi cha watu wamtafutao yeye; naam, watu wamtafutao Mungu wa Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hiki ndicho kizazi cha wale wanaomtafuta, wale wanaoutafuta uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndio hali ya kizazi cha watu wamtafutao yeye; naam, watu wamtafutao Mungu wa Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao, wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao, wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndio hali ya kizazi cha watu wamtafutao yeye; naam, watu wamtafutao Mungu wa Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukoo wao wamtafutao ndivyo, ulivyo, maana hukunyatia wewe, Mungu wa Yakobo, mpaka wauone uso wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo hali ya kizazi cha watu wanaomutafuta yeye, watu wanaomutafuta Mungu wa Yakobo.