Psalms 24:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni Mwenyezi Mungu aliye na nguvu na uweza, ni Mwenyezi Mungu aliye hodari katika vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani Mfalme wa utukufu? Bwana mwenye nguvu, hodari, Bwana hodari wa vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni BWANA aliye na nguvu na uweza, ni BWANA aliye hodari katika vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni bwana aliye na nguvu na uweza, ni bwana aliye hodari katika vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani Mfalme wa utukufu? BWANA mwenye nguvu, hodari, BWANA hodari wa vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu mfalme mwenye utukufu ndiye nani? Ni Bwana Mwenye nguvu, aliye mshindaji, kweli, Bwana ni mshindaji, hushinda vitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani Mfalme wa utukufu? BWANA mwenye nguvu, hodari, BWANA hodari wa vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani huyo Mufalme mwenye utukufu? Ni Yawe, mwenye nguvu na uwezo; Yawe, mwenye uwezo katika vita.