Psalms 24:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili Mfalme wa utukufu apate kuingia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili mfalme wa utukufu apate kuingia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili Mfalme wa utukufu apate kuingia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yanyosheni malango, yawe marefu! Navyo vilango vya kale vipanueni, mfalme mwenye utukufu apate kuingia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufunguke, enyi milango, mufunguke, enyi milango ya tangia zamani, kusudi Mufalme mwenye utukufu aingie.