Psalms 25:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwako wewe, Ee Mwenyezi Mungu, naweka tumaini yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nakuinulia nafsi yangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Kwako wewe, Ee BWANA, nainua nafsi yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwako wewe, Ee bwana, nainua nafsi yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naikweza roho yangu, ikuelekee Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Ee Yawe, ninakutolea moyo wangu.