Psalms 25:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hutenda kwa fadhili na uaminifu, kwa wale wanaoshika agano lake na maamuzi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia zote za Mwenyezi Mungu ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hutenda kwa fadhili na uaminifu, kwa wale wanaoshika agano lake na maamuzi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia zote za BWANA ni za upendo na aminifu kwa wale wanaoshika Agano na shuhuda zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia zote za bwana ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia zote za BWANA ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hutenda kwa fadhili na uaminifu, kwa wale wanaoshika agano lake na maamuzi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penya upole na kweli ndipo pote, Bwana anapotangulia, kwao walishikao Agano lake nayo mashuhuda yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia zote za BWANA ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia zote za Yawe ni njema na za uaminifu kwa wale wanaoshika agano lake na maagizo yake.