Psalms 25:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili ya jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, unisamehe kosa langu kwani ni kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili ya jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, unisamehe kosa langu kwani ni kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili ya jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, unisamehe kosa langu kwani ni kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya Jina lako, Bwana, niondolee manza, kwani hizo, nilizozikora, ni nyingi mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya jina lako, ee Yawe, unisamehe kosa langu, kwa maana ni kubwa.