Psalms 25:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu atamfunza njia ya kufuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani basi, mtu yule anayemcha Mwenyezi Mungu? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani amchaye Bwana? Atamfundisha katika njia anayoichagua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu atamfunza njia ya kufuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani basi, mtu yule anayemcha BWANA? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani basi, mtu yule anayemcha bwana? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani amchaye BWANA? Atamfundisha katika njia anayoichagua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu atamfunza njia ya kufuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu amwogopaye Bwana yuko nani? Ndiye, atakayemfundisha njia ifaayo, aichague.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani amchaye BWANA? Atamfundisha katika njia anayoichagua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu anayemwabudu Yawe, Yawe atamufundisha njia ya kufuata.