Psalms 25:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni rafiki ya wale wamchao; yeye huwajulisha hao agano lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siri ya Mwenyezi Mungu iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siri ya Bwana iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni rafiki ya wale wamchao; yeye huwajulisha hao agano lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siri ya BWANA iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha Agano lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siri ya bwana iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni rafiki ya wale wamchao; yeye huwajulisha hao agano lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huwawia mwenzao wa njama wao wamwogopao, nalo Agano lake ndilo, analowajulisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni rafiki ya wale wanaomwabudu; yeye anawajulisha agano lake.