Psalms 25:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yangu humwelekea Mwenyezi Mungu daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yangu humwelekea Bwana daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yangu humwelekea BWANA daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka katika mtego.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yangu humwelekea bwana daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yangu humwelekea BWANA daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yangu humtazamia Bwana mchana kutwa, kwani yeye ndiye anasuaye miguu yangu, ikiwa tanzini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yangu humwelekea BWANA daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninainua macho kwa Yawe siku zote; yeye ataopoa miguu yangu kutoka mutego.