Psalms 25:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Angalia jinsi walivyo wengi maadui zangu; ona jinsi wanavyonichukia kwa ukatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama adui zangu walivyo wengi, pia uone jinsi wanavyonichukia vikali!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwatazame adui zangu, maana ni wengi, Wananichukia kwa machukio ya ukali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Angalia jinsi walivyo wengi maadui zangu; ona jinsi wanavyonichukia kwa ukatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama adui zangu walivyo wengi, pia uone jinsi wanavyonichukia vikali!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama adui zangu walivyo wengi, pia uone jinsi wanavyonichukia vikali!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwatazame adui zangu, maana ni wengi, Na kwa namna wanavyonichukia kwa ukatili mwingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Angalia jinsi walivyo wengi maadui zangu; ona jinsi wanavyonichukia kwa ukatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watazame adui zangu! Kwani ni wengi, wakanichukia kwa ukorofi wao uchukizao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwatazame adui zangu, maana ni wengi, Wananichukia kwa machukio ya ukali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia jinsi waadui zangu wanavyokuwa wengi; ona jinsi wanavyonichukia vikali.