Psalms 25:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakutumainia wewe, ee Mungu wangu, usiniache niaibike; adui zangu wasifurahie kushindwa kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni wewe ninayekutumainia, Usiniache niaibike, wala adui zangu wanishinde.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakutumainia wewe, ee Mungu wangu, usiniache niaibike; adui zangu wasifurahie kushindwa kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ni wewe ninayekutumainia, Ee Mungu wangu. Usiniache niaibike, wala usiache adui zangu wakanishinda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ni wewe ninayekutumainia, Ee Mungu wangu. Usiniache niaibike, wala usiache adui zangu wakanishinda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wangu, Nimekutumainia Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakutumainia wewe, ee Mungu wangu, usiniache niaibike; adui zangu wasifurahie kushindwa kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu, nimekutegemea, sitapatwa na soni, adui zangu wasipate kushangilia kwa ajili yangu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakutumainia wewe, ee Mungu wangu, usiniache nifezeheke; waadui zangu wasifurahie kushindwa kwangu.