Psalms 25:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uyalinde maisha yangu, uniokoe; nakimbilia usalama kwako, usikubali niaibike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uyalinde maisha yangu na uniokoe, usiniache niaibike, kwa maana nimekukimbilia wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unilinde nafsi yangu na kuniponya, Nisiaibike, maana nakukimbilia Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uyalinde maisha yangu, uniokoe; nakimbilia usalama kwako, usikubali niaibike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uyalinde maisha yangu na uniokoe, usiniache niaibike, kwa maana nimekukimbilia wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uyalinde maisha yangu na uniokoe, usiniache niaibike, kwa maana nimekukimbilia wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unilinde nafsi yangu na kuniokoa, Usiniache niaibike, maana nakukimbilia Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uyalinde maisha yangu, uniokoe; nakimbilia usalama kwako, usikubali niaibike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uilinde roho yangu, uniponye! Sitapatwa na soni, kwani nimekukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unilinde nafsi yangu na kuniponya, Nisiaibike, maana nakukimbilia Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uyalinde maisha yangu, uniokoe; ninakukimbilia wewe, usikubali nifezeheke.