Psalms 25:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wema na uadilifu vinihifadhi, maana ninakutumainia wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uadilifu na uaminifu vinilinde, kwa sababu tumaini langu ni kwako, Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukamilifu na unyofu zinihifadhi, Maana nakungoja Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wema na uadilifu vinihifadhi, maana ninakutumainia wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uadilifu na uaminifu vinilinde, kwa sababu tumaini langu ni kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uadilifu na uaminifu vinilinde, kwa sababu tumaini langu ni kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukamilifu na unyofu zinihifadhi, Maana nakungoja Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wema na uadilifu vinihifadhi, maana ninakutumainia wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ung'avu na unyofu sharti unikinge, kwani kingojeo changu ndiwe wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukamilifu na unyofu zinihifadhi, Maana nakungoja Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukamilifu na usawa vinanikinga, maana ninakutumainia wewe.