Psalms 25:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, uwaokoe watu wako, Israeli; uwaokoe katika taabu zao zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, wakomboe Israeli, katika shida zao zote!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, umkomboe Israeli, Katika taabu zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, uwaokoe watu wako, Israeli; uwaokoe katika taabu zao zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, mkomboe Israeli, kutoka katika shida zake zote!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, wakomboe Israeli, katika shida zao zote!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, umkomboe Israeli, Katika taabu zake zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, uwaokoe watu wako, Israeli; uwaokoe katika taabu zao zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, mkomboe Isiraeli katika masongano yake yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, umkomboe Israeli, Katika taabu zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uwaokoe watu wako, Israeli; uwaokoe kutoka taabu zao zote.